Selfika na JF: Snap it. Show it

Niliona kwenye Uzi wa BMW Vs LC kule unapiga ndogondogo Kwa financial services Ila extrovert akaja kukurushia njiwa wako
Jamaa anatibua maji πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, shida mkuu hatuna pesa.. kama pesa ingekuwepo mbona na sie tungekuwa nao.. acha tuzisake tu na sie tutapata wa kufanana na sie, ila sema ka Depal ni ka kisu sema ndio ivyo kama wahiwaaa πŸ˜…πŸ˜…
 
Bora Mimi sina hata tamaa ya kuwapenda wakina Depal na Saint Anne wa jf maana sina gari sina nyumba wala sina kazi ya maana🀣..sitaki hata shobo ya kusogeza pua yangu PM πŸ˜…
 
Bora yako wewe mkuu wangu, mie hata PM yangu nimeifumga miaka na miaka haifanyagi kazi, sizogezi pua kwa mtu na sitaki mtu asogeze pua yake πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ila tutaboa mzee mwenzangu
 
Imani ni kuwa na hakika ya mambo hata yasiyoonekana
Sio kweli, πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Imani ni product ya Neno, na Neno ni tangible kitu kama tangible kinaonekana sema kinaonekanaje.. na nje ya Neno hakuna imani.. How you see Jesus , na ndivyo imani yako itavyo kuwa, kama hujamuona Yesu kamwe ni ngumu kuwa na imani, Yesu anaonekana yes, how πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Jamaa anatibua maji πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, shida mkuu hatuna pesa.. kama pesa ingekuwepo mbona na sie tungekuwa nao.. acha tuzisake tu na sie tutapata wa kufanana na sie, ila sema ka Depal ni ka kisu sema ndio ivyo kama wahiwaaa πŸ˜…πŸ˜…
Mr. Bima unawatongoza wengine huku? UmeniachaπŸ˜‚πŸ˜‚ nije nifate funguo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…