[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtoto Depal sasa hivi yupo fofofo,midenda inamtoka shavuni inachafua shuka...Kwa kuawahi kuamka sasa,Kama jogoo[emoji28].Akiamka me ndy najiandaa kwenda kulala
Ila tunaofanya kazi za kukesha tuna maisha magumu sn.Yani mida huu mtu upo macho unaweza kujikuta unazibuliwa vibao vya uso na majini [emoji1787]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hakika kabisaah, [emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Woooi[emoji3059][emoji7][emoji7][emoji7][emoji91][emoji91][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]ngoja nkuletee nyingine sasa!![emoji2][emoji2][emoji2]
Khaaa![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]looh!pole sana kuna wale waliojichanganya bwanaa[emoji1][emoji2][emoji1]!!!!
Badae naweka bila hata maua au kucrop.Sawa mangi.
Nasubiri selfie yako ujue
Nani amekudanganya?
Hii ni tamu kama soda gani??Saint Anne mekubakishia...View attachment 2025931
Sijaona hata inafanana na soda gan lkn i like it
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeehWatu wabaya mdogo wangu[emoji16]
Baadaye umeme utakatika bwana.Badae naweka bila hata maua au kucrop.
Uko wapi nije kuonja hiyo pombe?Sijaona hata inafanana na soda gan lkn i like it
Npo Kimara mwisho babe...Uko wapi nije kuonja hiyo pombe?
Nakuja[emoji7]Npo Kimara mwisho babe...
[emoji16][emoji16] sawa..Nakuja[emoji7]
Niwekee kwenye kichupa cha soda, nakuja kuchukua.
Ngoja mvua ikate,ntakustua.[emoji16][emoji16] sawa..
[emoji106]Ngoja mvua ikate,ntakustua.
Kuhusu Depal mkuu usiseme hivyoooo!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hapa ndio naamka asee , nakutana na mvuaa tu.. mda huo Depal alikuwa kalalia kifua weweeee