Selfika na JF: Snap it. Show it

Usihofie Colour, gizani Mwanga,
I love you baby Mi ndo taa

Usihofie Wachaga, Wahaya Mama,
Upendo hauchagui Kabila,

Hatari Mola atuepue,
Baraka Mola atushushie,
Na na nanana

Maudhi yasitupitie (Mimi nawee)
Furaha kubwa ituingie,
Na na nanana.

Song: Usihofie Wachaga
Artist: Rama Dee

Licha ya kumwimbia nyimbo nzuri kama hivyo lakini bado niliachwa, kweli yule binti alijua kunitesa🙆 🙈🏃🏃🏃🏃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…