[emoji23][emoji23][emoji23] wee usinidanganye mie, hiyo miaka ndo ulikua unahitimu 4m 4, wakati huo mie nikiwa 4m 1 au 2.Ulikuwa la ngapi hiyo miaka?
Wengine hapo tunawaza tutachomoka vipi na ACSE na kwenda chuo[emoji16]hali ilikuwa tete mno.
Ndio nakuambia 2013 nilikuwa form5[emoji23][emoji23][emoji23] wee usinidanganye mie, hiyo miaka ndo ulikua unahitimu 4m 4, wakati huo mie nikiwa 4m 1 au 2.
Ila sio mbali sana. [emoji23][emoji23]Ndio nakuambia 2013 nilikuwa form5
Yanauzazwe, bei? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti eeh[emoji23][emoji23]Ila sio mbali sana. [emoji23][emoji23]
Yapo ya hadi buku 2[emoji23]Yanauzazwe, bei? [emoji23][emoji23]
Ni hatari.Afu pametulia naimagine hako kaupepo dah!!!!
😊😊Amin!
4m 1.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbagala rangi 3?Yapo ya hadi buku 2[emoji23]
Ntakupa bure
Unapaka usoni,mikono na miguu .
Usisahau na shingo,watu wasije wakaona shingo nyeupe,sura nyeusi[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh miaka mi4 yote....?[emoji23][emoji23][emoji23] sasa n mbali hapo unaona? Mie nlichelewa kuanza shule, ilibid 4m 4 nitoke
[emoji23][emoji23][emoji23] heshima kwaako bhana,Mmmh miaka mi4 yote....?
ila bado tu, 9 Hadi 12 Ni bado sana
[emoji172] [emoji551], n eneo gan?
Nakuambia Mimi[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]yaani nisingesoma we mwanangu wa Pili ujue...mi mbigi sana...!!!Thubutuuu yako wee, [emoji23][emoji23][emoji23]
Unalingana na our fourth born...!!![emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]yeye anapishana na 3rd born 5yrs!!Ulikuwa la ngapi hiyo miaka?
Wengine hapo tunawaza tutachomoka vipi na ACSE na kwenda chuo[emoji16]hali ilikuwa tete mno.
Uonevu huu sasa[emoji4][emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji4]maana hata dini haisemj hvyoo!Sasa itakuwaje [emoji16][emoji16]View attachment 2012701