No , naota sana (nightmares)- nikasema isijekuwa alcohol imezidi kichwani π π πSpecial task?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hapo unajaribu kimoja baada ya kingine.Hapo nitatulia kama dakika 40 ndio mengine yaendelee
Na hali ya sasa you can imagine kwenye kujaribu vinapoishia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hapo unajaribu kimoja baada ya kingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akibebwa na shem darling ina raha yake ati!!!π π π Khaaaaa
π€£π€£π€£π€£ acha kuisingizia pombe. Ulipe madeni ya VICOBa hukoNo , naota sana (nightmares)- nikasema isijekuwa alcohol imezidi kichwani π π π
Nimetafuta sijaona kwa kweli, nimeona moja tu.Zimejaa huko juu
Umepumzika tuu mkuu,ukiweza kutoboa mwaka hapo nitakupongeza.Nimeacha gambe kwa muda ,nataka niache Kwa wiki 2
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na hali ya sasa you can imagine kwenye kujaribu vinapoishia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Una gauni kama langu.
Lako refu au fupi? Mama angu halipendi π€£π€£π€£Una gauni kama langu.
Tena nadhani yanalingana kila kitu.
Tuone kwa chini ililivyokaa..
Kafupi, kakimini.Lako refu au fupi? Mama angu halipendi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kafupi mnoo. Ukikivaa hatua mbili kanapanda ..Kafupi, kakimini.
Sijawahi kuvaa,siku niliyonunua mama alisema gauni gani hilo??
Limekaa kuvaa shughuli za usiku.
Ambition plus amependa kucha zako dada πAbee Depal Umeniita?π
Hebu tulione kwa chini lilivyo.Ni kafupi mnoo. Ukikivaa hatua mbili kanapanda ..
Mwambie nashukuruπAmbition plus amependa kucha zako dada π
Punguza kibox.