Kama badala ya kwenda viwanja kujirusha wikendi zako sasa zimegeuka na kuwa ni wakati wa kutunza mazingira ya gheto lako na kulima vibustani bustani vya uwongo na kweli. Cha muhimu tu ufurahie na uwe na ridhiko. Maisha menyewe ni haya haya hakuna mengine. Fanya kikupacho furaha ali mradi tu usivunje sheria (na hata kukera wengine). Be blessed