Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,578
- 235,424
OhSiku moja ukisikia Sarri amehonga nyumba ya babake ujue aliyehongwa ana natural hair.
Kwahiyo mnawasema wanaume wetu wa mbeya wenye parachichi [emoji3]Umechelewa sana. Sogea karibu huku upepo unapovuma. Hukosi walau kibanda. Huko njombe utaambulia kuongwa gunia la viazi na mkungu wa ndizi. Pengine na debe la parachichi mbichi
Ama hakika kiswahili ni kigumu.Kwahiyo kula albendazole ni kunenepa?
[emoji23][emoji23]Amka utafune dawa [emoji23]
Hujaamua tu ila inawezekana asee. Usiku mwema.Chaliifrancisco ratiba yako ya saa1 imenishinda.View attachment 1996222
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha niendelee tu na ratiba yangu ya kula saa2Hujaamua tu ila inawezekana asee. Usiku mwema.
Kumbe huko daslamu tu passo tupo nje nje eeh?Aisee, kumbe ni Mbeya? Hapo ukipambana sana utaambulia CD ya kwaya kutoka kwa akina Mwansasu, Mwaitege na mwakasege. Njoo hapa daslama mrembo. Utu tu IST tu passo passo na vitz ndo kima cha chini. Ex RC wetu alitoa huo mwongozo.
Saa mbili sio mbaya. How was your night?
Yah 2 naona ndiyo muda mzuri ziaidi.Saa mbili sio mbaya. How was your night?
Mine was good too. Hahaha ni vizuri ukiota mambo mazuri mazuri sio kuota ndoto za kutishatisha.Yah 2 naona ndiyo muda mzuri ziaidi.
My night was good,,How was yours?,,
Nilikuwa naota hela tu leo,tangu nimelala hadi naamka.
Glory be to God.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah namshukuru MUNGU leo nimelala kwa amani.Mine was good too. Hahaha ni vizuri ukiota mambo mazuri mazuri sio kuota ndoto za kutishatisha.