Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndio inavyotakiwa. Kuna muda unahisi kama una njaa lakini sio. Kama umekula masaa machache yaliyopita jitahiji kunywa maji kidogo usikilizie.

Vipi umwfanikiwa kutoboa au ulikula tena? [emoji12]
Nilifanikiwa.

Baada ya kunywa maji nilikaa kidogo;nikalala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoto wa kishua hawawezi elewa haya.

Tuliokulia vijijini tumechoma sana viazi namna hiyo.
Halafu vilikuwa vinakuwa vitamu [emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kale kaalufu flani ivi ka asiri [emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526] moment nyingi sana za utoto zilikuwa nzuri sana saizi azipo ata kwa dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…