Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,362
Mimi sitabiriki yaani,Hivi kumbe bado mnasuka!hakyanani siku hiyo nimeenda saloon nikamkosa msusi,nikarudi tena hayupo.wooooohiii nikaenda kuzikatilia mbali na zilikuwa natural hair halafu ndefu [emoji3064][emoji3064]
Unachelewa sasa Hebu mbananishe mtoto huyoNikifanikiwa utakula tenere usijali.
Chaaaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Kuna mnaa mmoja alisambaza picha zangu Kwenye groups zao huko
Sijui aliingiza shilingi ngapi[emoji848]
Siwezi kum-force bana yeye mwenyewe tu anipe greenlight then tuyajenge.Unachelewa sasa Hebu mbananishe mtoto huyo
[emoji38]Unachelewa sasa Hebu mbananishe mtoto huyo
Yani uandamwe usuke!π³π³hapana kwakweli..nsimamo hapo umeteterekaππMimi sitabiriki yaani,
Ila mara nyingi nanyoa.
Zimekuwa ndefu mno nikasema nikasawazishe,,
Kuna rafiki yangu nilikutana naye yaani ameniandama hadi nimesuka[emoji2362]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu achana na upepo we mtakatifu.muda ndo huu au unasubiria ule umri wa kuomba mwanaume yeyote mwenye suruali?
Inabidi uwe na msimamo. Usiyumbishwe na mtu pale unapotaka kufanya kile unachoona wewe kuwa ni sahihi.Mimi sitabiriki yaani,
Ila mara nyingi nanyoa.
Zimekuwa ndefu mno nikasema nikasawazishe,,
Kuna rafiki yangu nilikutana naye yaani ameniandama hadi nimesuka[emoji2362]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tobaaa[emoji3]Jitahidi. Anza kujizoesha. Mimi kuna siku nakula dinner saa 12 jioni [emoji23]
Mimi nahisi nitazimia usiku [emoji23]Heee hauhesabu chaga?
Siwezi pigwa kwa Avatar wala sura labda nipigwe kwa tabia simindi.Ulishapigwa n
ini mzeeππππ
Usinyoe hata. Wewe choma tu wigs zote [emoji23][emoji23]
Bhana wewe Hebu nitafute nikupe mapini ya kumbananisha mtoto wa kike.unafikiri unaforce wewe basi...kinachotokea ni natural forces tuπ€£π€£π€£Siwezi kum-force bana yeye mwenyewe tu anipe greenlight then tuyajenge.
Muda mzuri kabisa huo.
Hivi umeona ile comment ya Jack Palladino kuwa nifute Shem darling ibaki darling...
Jikubali vile ulivyo. Hakuna aliejiumba bana. Halafu unaweza kukuta unajishtukia mwenyewe tu ila watu wala hawajali. God created you perfectly, hajakosea detail yoyote.Ntapita wapi na hichi kichwa?
Wengine tuna sura za baba mawigi angalau yanaturudisha kwenye ramani
[emoji23][emoji23][emoji23]Nikanyoe sasa nipate mume
Weee usiniambie π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Siwezi pigwa kwa Avatar wala sura labda nipigwe kwa tabia simindi.
Nimesuka Leo.Umeanza kusuka
Wow !!
πππ goodnight.