Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilikuwa kusuka ,nimechelewa sana kula Leo.
Huwa nakula saa2.

Siwezi kula saa 1[emoji3],njaa mbona itaniuwa nikilala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kumbe bado mnasuka!hakyanani siku hiyo nimeenda saloon nikamkosa msusi,nikarudi tena hayupo.wooooohiii nikaenda kuzikatilia mbali na zilikuwa natural hair halafu ndefu πŸ₯ΊπŸ₯Ί
 
Utazoea. Should i make you get used to it?
Chalii wataka nife njaa usiku??
Sema siku hizi nawahi mno kulala,sijisikii njaa.

Kuna kipindi nilikuwa nalala saa7,8...sasa nikila saa1,kufika saa6 njaa inauma sana.


Hebu naomba ujaribu kunifundisha kula saa1[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala haufi njaa. Ujue njaa ni deception sometimes? Kuna muda unaweza kuhisi unahisi njaa kumbe sio ila wewe hujui unaongeza tu calories
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…