Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
[emoji23][emoji23][emoji23]Aah wapi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
If it was me najua ana ratiba ya kuja namtumia kabisa WhatsApp na caption babe karibu breakfast ili ajiandae kisaikolojia
Sijui hata nakwama wapi,Nkamu acha masihara[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji2362][emoji2362]Huo wimbo mpaka Askofu anaujua
Try this one mkuu....wine ya uyoga..u will thank me later[emoji28]Aah wapi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
If it was me najua ana ratiba ya kuja namtumia kabisa WhatsApp na caption babe karibu breakfast ili ajiandae kisaikolojia
Nipo kikaangoni mie 😀😀😀
Inalewesha kimasiharaTry this one mkuu....wine ya uyoga..u will thank me later[emoji28]View attachment 1993360
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
You mean?Nipo kikaangoni mie 😀😀😀
Depal kama Depal...unajulia wapi haya mambo?[emoji28]Inalewesha kimasihara
PJei weeeDepal kama Depal...unajulia wapi haya mambo?[emoji28]
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
We mtoto hatari sanaaaa[emoji28][emoji28][emoji28]PJei weee
Mji mdogo huu [emoji23]
😀😀 kawaida tu mkuu.We mtoto hatari sanaaaa[emoji28][emoji28][emoji28]
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
U too[emoji6][emoji3][emoji3] kawaida tu mkuu.
Enjoy ur Sunday.
😮Try this one mkuu....wine ya uyoga..u will thank me later[emoji28]View attachment 1993360
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Mkuu T 1990 ELY kwema kabisa?
Hautendei haki huu msosi hilo sotojo inatakiwa lifanyiwe finishing na kabia bariiiiiiiiiid
Uyoga mkuu ni balaa. Aisee hiyo kitu inabidi niitest[emoji50]
Aisee ni uyoga kabisa?
Watu mna mapigo[emoji1787]
Kuna jamaa humu anaitwa mbalizi1 aliniambia kazi ya hio asali inaitwa UPULA..
Nilikuwa nayo ndani kama lita 5 lakini sikujua matumizi yake..
Nimeinywa siku ya 5 leo, aisee network ile asubuhi naamka inasoma 4G LTE ikifika mida ya mchana ngoma inasoma mpaka 5G network bar zipo full[emoji1787][emoji1787]
Yaani mkuu unaweza kupigia na push up kabisa, ngoma imekakamaa haitaki maelezo halafu inakuwa kama ina twitch hivi..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeamua niachane nayo aisee, haya ni mateso sasa..
Tunashushia na juisi embe bariidiHautendei haki huu msosi hilo sotojo inatakiwa lifanyiwe finishing na kabia bariiiiiiiiiid
Hio ya uyoga alcohol yake per vol iko vipi?Uyoga mkuu ni balaa. Aisee hiyo kitu inabidi niitest
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app