Ila wanaume jamani! mimi jana niliambiwa nafeli sasa sijui ninasoma mpaka nifeli, hizo sms za kawaida za whatsapp ndo balaa bonge la beat, lakini cha ajabu sasa yeye kakesha kwenye huu uzi anafatilia kimya kimya maana nimeweka picture within 3 minutes nikatoa nikakutana na screenshots whatsapp na mkwara. Na hii ninatoa sasa hivi kabla hajaona. View attachment 1223670View attachment 1223672
eti paka na mbwa. Inatokeaga tu mazee si unaonaga hata Magufuli na Mbowe kuna matukio kadhaa huwa yanawaunganisha na wanakaa meza moja na kushikana Mikono. ref. Msiba wa R.Mengi