Selfika na JF: Snap it. Show it

Jamani naomba mjenge tabia ya kutembelea makazi ya watoto yatima. Jana nimetembelea vituo vitatu nimekutana na watoto wengi wanafanana sana na watu waliomo humu katika group ila siwataji. Nawasihi mjenge tabia ya kwenda huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…