Hahah...
Unajua nini
SweetieLee, kuongezeka mwili ama kupungua si ulemavu ni uamuzi tu...
Mara ya mwisho watu niliokutana nao hapa JF wakikutana nami sasa watsema wamekutana na mtu mwingine...
This time around nimeamua niwe hivi, wakati ule niliamua kuwa nilivyokuwa...