Miaka mingi sana sijaenda Mbalizi, mkumbushe mara kwa mara afanye bidii ktk masomo yake na malengo yake ili atimize ndoto yake katika maishaSo,kuna dogo langu,yupo mbalizi shule.
Nashukuru,anapambanaMiaka mingi sana sijaenda Mbalizi, mkumbushe mara kwa mara afanye bidii ktk masomo yake na malengo yake ili atimize ndoto yake katika maisha
Huku huku Tanzania tu mkuu
Kabisa, me nilisoma Shule ya Serikali alafu mchepuo wa PCM na kwenye Physics hadi tunaenda Likizo ya Mwezi Septemba ilikuwa tumesoma topic moja ya Projectile Motion tu huku Maths tumesoma topic 4 wakati Mwalimu wa Chemistry alikuwa analikizo ya Kuumwa yaani unajikuta unasema kilichonituma kusoma Advanced level ni nini bora ningeendaga Diploma huko DIT๐Kabisa mkuu walitusaidia sana. Walifanya shule iwe rahisi sana
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
๐Umesahau 2025 ndo anafikisha umri wa kupiga kura
Anastahili heshima na utukufu ๐๐๐God is good man
Mkuu acha kabisaKabisa, me nilisoma Shule ya Serikali alafu mchepuo wa PCM na kwenye Physics hadi tunaenda Likizo ya Mwezi Septemba ilikuwa tumesoma topic moja ya Projectile Motion tu huku Maths tumesoma topic 4 wakati Mwalimu wa Chemistry alikuwa analikizo ya Kuumwa yaani unajikuta unasema kilichonituma kusoma Advanced level ni nini bora ningeendaga Diploma huko DIT
Kwa kweli jamaa walinisaidia sana kuniboost
๐Umesahau 2025 ndo anafikisha umri wa kupiga kura
Ila unaweza hisi ni vitu vya kufikirisha but once upon the time it happened.UKISHA OLEWA JIANDAE KUMWAMINI MUMEO Sometimes ngumu sana kumuelewesha mwanamke jambo flani, iwe kuchelewa kurudi, sms/calls za wanawake and the like
Wanawake mjifunze kuwaamini waume zenu.
Kuna wakati Mme wako anaweza kuchelewa sana kurudi nyumbani na akakupa sababu ambayo huwezi kamwe kuiona kwenye kitabu chochote duniani.
Ruhusu upendo na uaminifu vitamalaki.
Fikiria Yona anarudi nyumbani baada ya siku 3 tangu ameondoka, hakupiga simu, hakutuma ujumbe, wala chochote, ila tu akamwambia mkewe kuwa alimezwa na samaki na kutapikwa baada ya siku 3 - hebu tafakari hilo.
Mke wa sasa anaweza na anataka ampasue hata kichwa.
''Ulimezwa na samaki? Hivi unadhani unaongea na mtoto?
Dharau gani hiyo, kunidanganya mie kama sina ubongo? Samaki gani huyo? Sangara au Sato?
Hata kama Yona angemweleza hayo paroko/mchungaji/shehe ni lazima angemwita faragha na kumwambia:-
"kaka Yona kwa nini usisali na kutubu kuhusu dhambi za uongo?".
Majirani wangesema, "mwanamke mwenzetu ujue samaki huyo ni Mwanamke mwenzio tu"
Lakini kati yangu na wewe, tunajua ni kweli Yona alisema ukweli.
basi wanaume waaminiwe tu jamani.
,
Najua hata hii hamtaamini
Tuonyeshe ulichokula na sie tupate hamu
Hahahaha.......ingekuwa ni Kanisani tungetoa shukrani ya Pekee kwa mema tuliyofanyiwa ๐ ila all in all akina Mood wametusaidia sana kutimiza ndoto zetu wengi kwa gharama nafuu
Mziki wa Pure Mathematics ni shida Mkuu ila wale wahuni walikuwa wanasolve utasema wanacheza ๐
usinikumbushe acha kabisa ๐
hiki kitabu natumai unakikumbuka vyema kilivyotesa watu๐คฃ
Incognito. Nimegundua watu humu mna fani kali kali , Ngoja nitengeneze list ntakua naomba Mapindi.
Kuna swali nililifanya siku 3, uzuri shule nzima hakuna aliyetokea kuliweza hilo swali, so shule nzima walinifahamu?๐Mziki wa Pure Mathematics ni shida Mkuu ila wale wahuni walikuwa wanasolve utasema wanacheza ๐
Ilikuwa kila wakiona swali wanakutajia na Mwaka lilipotoka Necta.
Ulitisha Mzee, baada ya hapo wanakupa Salute ๐ฎ๐ชKuna swali nililifanya siku 3, uzuri shule nzima hakuna aliyetokea kuliweza hilo swali, so shule nzima walinifahamu?๐