Hila only veteran ndiyo tumesoma mapindi yale, mimi nilichukua mchepuo wa sayansi chemistry walinisaidia sana na physics dah hivi bado wapo maana ni miaka ya nyuma sana
Wakongwe tupongezane watu tulikua tunasoma mitopic ya mbele ili ukifika shule uwe mwamba,mwenge mimi kwa wale vijana wa mzumbe chemistry na physics ya A level dah nilisoma nikaielewa kinoma
Wewe ni mimi mzee nilikua nakaa nyuma na sichukui notes ila kitu kinajaa kichwani, tukifungua shule napiga copy kwa wale wachukua notes wazuri life goes on
Hahahahah una intergrate ukiingiza data kwenye calculator inazima kwanza ndiyo ikuletee majibu hahahaha kumbe ulichukuaga sayansi utakua upo nondo sana mdada
Bora integration aisee, siku ya kwanza tu kufundishwa Coord 2 niliamua tu nafsini mwangu, kwamba sitaki kuielewa hii topic hata ije iwe rahisi vipi. Nikaachana nayo mazima
Hahahahah una intergrate ukiingiza data kwenye calculator inazika kwanza ndiyo ukuletee majibu hahahaha kumbe ulichukuaga sayansi utakua upo nondo sana mdada