Selfika na JF: Snap it. Show it

Yule bodyguard nimemtimua, nimemleta mwingine, huyo ametoka Russia hajui English wala Swahili, sijui utamshawishi vipi, sasa hivi kokote unapokwenda ni kupaa angani tu, hata sokoni unakwenda kama first lady...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

expenses zote kuanzia salary ya rubani, inspections,fuel za hio chopper mpaka maintenance ni juu yangu...πŸ˜‰
Lizzy
 
Hizo services ni first class so asante sana πŸ€—πŸ€—
Buuuuut...kabla hujaendelea kufurahia ushindi ambao bado hujapata just know I'm friends with one Alex Lunkov...
Na maneno mawili matatu sikosi,so.....don't celebrate too soon.😎
 
hapo nimeweka mpaka aliens, ujue kuna vitu huvioni ila wao wananitumia picha tu huku mi nacheka, kuna watu wanaingia na kutoka huwezi kuwaona(wa ulimwengu mwingine) 😁😁😁... walinzi wengine hawaonekani kwa macho... bado mie mshindi...πŸ†πŸ†πŸ†

sikutaka kukuonyesha hii picha imebidi nikuoneshe tu....
 

Tunaomba Aircraft registration license, Landing Fee Boss, Na Work permit ya Huyo Mkulungwa
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…