Mungu azidi kuwatunza,
Amani ya Kristo ipitayo fahamu zote izidi kuwahifadhi mioyo yenu .
Upendo wa Kristo ukae kwa wingi ndani yenu. .
Mungu abariki kizazi chenu,kiwe cha baraka..Mkaone wajukuu na vitukuu kwa kadiri ya Mapenzi Yake.
Dumuni katika kuomba,mkeshe katika kuomba ili mwovu asipate upenyo ..
Dumuni katika maombi,mkituombea na sisi pia (mimi na babe
Jack Palladino (kidding)).
Mungu awajazie baraka.
Hongera mkuu .