Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
π
Ulikua unakunywa soda eti πππHapana picha imenichanganya tu...imenifanya hadi nikapaliwa soda yangu jmn
Itapendeza kuziona na nitamwonesha Bibi yenu ili akumbukie enzi za Ujana wetu miaka ile ya Ukoloni. Hope hamtatuangusha Vijana ππππ»ππ»ππ»π€£π€£π€£ Jack Palladino utawapa picha
Umeitika kwa nidhamu hadi nimefurahi, haya nipe namba ya Wakala nikutumie Hennessey 1 ππ₯Abeeeeee
Fanya kweli Mjukuuπ€£π€£π€£π€£
SITI ZANGU PENDWA.DAH!KUCHATIA PC NI KIPAJI#daladalaniView attachment 1966842
dj ni nani jamani?TULETEEEEEEEEItapendeza kuziona na nitamwonesha Bibi yenu ili akumbukie enzi za Ujana wetu miaka ile ya Ukoloni. Hope hamtatuangusha Vijana ππππ»ππ»ππ»
Usimcheke sana hio ni dawa ya kuzuia kutapikaHii picha inanichekesha hadi muda huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila Jack [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nacheka mwenyewe kama kichaa.
Ngoja nidownload.
[emoji38][emoji38][emoji38]Itapendeza kuziona na nitamwonesha Bibi yenu ili akumbukie enzi za Ujana wetu miaka ile ya Ukoloni. Hope hamtatuangusha Vijana [emoji12][emoji12][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
[emoji38]Usimcheke sana hio ni dawa ya kuzuia kutapika
Kamekua kawajina.Father on dutyView attachment 1966877
Roho yangu itakuwa kwatuuu kuwaona kwenye picha ya pamoja π[emoji38][emoji38][emoji38]
Eti eeh?
DJ nitakuwa mwenyewe, nitawaita kwa ngoma ya Amapiano. Mshindwe nyie tu ππππ»ππ»ππ»ππ»Kaa mkao wa kuona
dj ni nani jamani?TULETEEEEEEEE
Tulete baba[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]DJ nitakuwa mwenyewe, nitawaita kwa ngoma ya Amapiano. Mshindwe nyie tu [emoji2][emoji2][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
Not only ya pamoja,but also our photo is very romantic [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Roho yangu itakuwa kwatuuu kuwaona kwenye picha ya pamoja [emoji87]