Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,398
Mimi huwa najua sehemu ya chini ya mguu (inayokanyaga chini kwa ujumla ni kiganja)Nijuavyo kiganja ni mkononi, mguuni ni kisigino.
Sehemu yote ya chini ya mguu Si wayo (kwa wingi nyayo) auMimi huwa najua sehemu ya chini ya mguu (inayokanyaga chini kwa ujumla ni kiganja)
Sehemu ya nyuma ya mguu ni kisigino ambacho ni part ya kiganja
Na mkononi pia Kuna kiganja
Ngoja wajuzi waje
NdiyoSehemu yote ya chini ya mguu Si wayo (kwa wingi nyayo) au
Dah[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji34]Imani,upendo, miujizaView attachment 1962122
Take all the precaution prio boarding on ποΈποΈποΈ. Vaa kofia ngumu kwa usalama wako
Umerudi mjini??.Jumatatu njema View attachment 1962267
ππΎππΎYou must
Take all the precaution prio boarding on ποΈποΈποΈ. Vaa kofia ngumu kwa usalama wako
Nilikuwepo sema nilikuwa busy sana nikawa nimetoka tena juma tano nitakuwepo nikupe.Umerudi mjini??.
Hivi nilikuwa nakuwaza[emoji847],zile earphones ufanye namna Sasa nizipate[emoji4]
Songea hii,vumbi na migauni mirefu[emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana kwa kweli lol
i bet, wewe ni left hander
Vumbi la Congo na migauni mirefu ni shida, mtoto mzuri mawardatSongea hii,vumbi na migauni mirefu[emoji116]View attachment 1962388
NasubiriNilikuwepo sema nilikuwa busy sana nikawa nimetoka tena juma tano nitakuwepo nikupe.
Nilitaka nifaidi hivyo vinonoπ, unajua pension yangu haijaisha!Uwe kijana ili ugundue nini babu?
Babu yako hapa damu ilishapoa tangu enzi za Mkoloni Mjerumani, kwahiyo ikinasia nitafurahije kukumbushia ujana ππ€Έπ½π€Έπ½ππ»ππ»Ukigusa hutonasia kweli? Maana .. π