Zucchini (hilo la kijani) na squash (hayo ya njano) nayapenda sana kuyakaanga kwa mafuta kidogo tu ya mzeituni pamoja na biringanya. Ni veggies safi kabisa unakula unashiba
Kwa Kiswahili yanaitwa Zukini au ukitaka kile Kiswahili chenyewe kabisa orijino kutoka Unguja nadhani yanaitwa mang'unye. Na pamoja na matango, ni jamii moja ya maboga.