Selfika na JF: Snap it. Show it

Chipsi tangu mbeya nakula sana na huwa napika mara nyingi nikijisikia kula.

Asubuhi ndicho chakula pekee kilichokuwepo nyumbani nilichoona ni cha haraka kupika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli hapan chips zimenipita kushoto, kna siku nlijaribu kula tena nlinunuliwa nionje tyuuh aaaah, nlitapika na kichefu chefu mda wote. Sitaki hata.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli hapan chips zimenipita kushoto, kna siku nlijaribu kula tena nlinunuliwa nionje tyuuh aaaah, nlitapika na kichefu chefu mda wote. Sitaki hata.
Uwe unakula na limao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…