kwanza nina hamu mie? Nilikutan na kisanga kule, c nlichoka nkajfanya kuunga ishu na afande m1 anitoroshe, aseeeh pesa angu 200k alichukua, na akanichomeshaa mahindi daaaah,
Hapana kwa kweli, hongera sana mommah, yaan nkiona hizo gwanda had napatwa na baridi mweeeh,