Ndyo, km mie nimeambiwa nimeanza kunenepa, mbna nawazaa kufanya diet na mazoezi, ikishindkan hapo, kukata utumbo kutahusika tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weee usiniambie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3590][emoji3590][emoji3590] kwa kweli nimekoma, sirudii tena lol [emoji23][emoji23][emoji23]Thank you my dear [emoji7][emoji7]
Usiwachokoze tena hawa wakulungwa [emoji3][emoji3]
Miez 2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] so mchezo. Yaan ndo imenifanya nikaijua kutumia twitter (twiraa) vizuri, huko kna mambo ya ajabu khaaaah, kumezidi sana siasa lol.Ila walikalima ban ndefu mno dah[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitakuja nayo
Baibui langu nilisagula Nyerere square 3000 tu nikalitengeneza ..
Eid nikajichanganya kula ubwabwa na nyama
Wallah umekua chibongee [emoji7][emoji7]Nakunja 4 na hela sinaView attachment 1950619
Hahaha mkuu mimi hapana labda tumpasie mkuu wetu mtu chakeNilishafanya yangu..So nikaona vizuri kula na ndugu zako.
Mkuu mim nikikumbuka ya msuhubate basi acha tu nijiweke pembeni usishangae ukakuta hilo ni parody la behavioristHazard CFC kazi kwako mkuu.
MmmmmhX wako hahah
Guu la bia[emoji7]Nakunja 4 na hela sinaView attachment 1950619
Hebu weka labda ntayaonaAiseee[emoji38][emoji38][emoji38]
Usiniambie huyaoni niweke yaliyopinda kabisa
Akikutumia unitumie [emoji28]Lee naomba nione picha Yako
Ukikataa hapa nakuja PM kukuomba full.
Picha imefutwa lakini kwa sie watumiaji wa jfgb tunaionaUkiniona njiani usinishtue 😎
Hii miguu unaombea mkopo wenye riba nafuu kabisaNakunja 4 na hela sinaView attachment 1950619
hahahahaha uchokoziiAkikutumia unitumie [emoji28]
nmekutumia tayari pmHawezi [emoji23][emoji23]
Naomba tu ,mimi nitapambana naye
Mwenyewe nasubiri picha yako bebehahahahaha uchokozii
Mchumba hadi wewe unanidanganya?[emoji38][emoji38][emoji38]Guu la bia[emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii miguu unaombea mkopo wenye riba nafuu kabisa