Ndiyo najitafakari hapa nilipo, hata hivyo kwa Chumvi nilizokula tangu enzi za Maji Maji War hayo mambo na Ujumbe nawaachia Nyinyi Vijana wa Dot com πππ»ππ»
Utuangazie pande zote za Nchi, upeleke Amani palipo na Vita, Upendo palipo na Chuki .......
Sisi Wazee tuna mengi ya kuwasimulia Kizazi hiki ni vile tu Macho hayaoni ningewaandikia kitabu niwaachie. Tafadhali mtutumie vizuri ππππ»ππ»ππ»