Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,222
Umejuaje aseeh? Ni zaidi ya rafiki huyu hata hii ni mashine yake rane nikienda dar lazima nipite kwake kutest mikono.Oya KG π
Mkuu bishoo sana wewe
Weka hata ukuchaUnique tattoos zinaweza kujulikana.
pancho achana na hizo taarifa...ni uzushi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu bishoo sana wewe
Weka hata ukucha
Unaninyima hadi ukucha BAK![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtakatifu Anne anataka kuuona ukucha wa BAK hahahahaha lol!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Umebakiza au umeongeza?Kwa jinsi nnavyoyapenda.....View attachment 1946331
mniache jamani mbona siwaelewi ninachojua huyu geraldincredible ndio mwenyekiti wetu msiniulize wa nini πππ[emoji23][emoji23][emoji23]
Kalumbu geraldincredible nimekutafutia makamu msaidizi.
Atachukua nafasi ya Billy.
Ukiachia ushuzi hapo ni zaidi ya Mass destruction weapon ππKwa jinsi nnavyoyapenda.....View attachment 1946331
Huyo ni katibu.mniache jamani mbona siwaelewi ninachojua huyu geraldincredible ndio mwenyekiti wetu msiniulize wa nini [emoji3][emoji3][emoji3]
nae mzee wa vitu??[emoji23][emoji23][emoji23]
Kalumbu geraldincredible nimekutafutia makamu msaidizi.
Atachukua nafasi ya Billy.
mwenyekiti wa nn bro[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...mnaweza nipa uenyekiti bila kujua naongoza nnmniache jamani mbona siwaelewi ninachojua huyu geraldincredible ndio mwenyekiti wetu msiniulize wa nini [emoji3][emoji3][emoji3]
kaka hakikisha unachowaza unakitendea kaz...
Naahidi kutekeleza ipasavyo ndugu mwenyekitikaka hakikisha unachowaza unakitendea kaz...
kunywa bia
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
unaongoza viti virefu mkuu wangu.mwenyekiti wa nn bro[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...mnaweza nipa uenyekiti bila kujua naongoza nn
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Tutakuwa tumekosea tukisema ndege wafananao huruka pamoja? π