Selfika na JF: Snap it. Show it

word.
Sintosahau nilivyofukuzwa na afisa elimu at the time nilikuwa kidato cha 5, nilikwenda kuomba uhamisho, tatizo nilivaa jeans, jamaa(afisa elimu) alinikatalia na kunambia nikabadili nguo kwanza, halafu ile distance sasa kurudi shule unapanda dala dala(baiskeli zile za kukodi)gari hakuna, kwanza jeans yenyewe iikuwa ya heshima kabisa..., nimevaa nimechomekea kabisa na tshirt ya shule...,

years later..
siku moja naangalia tv namuona diamond platinum kaingia ikulu ya dodoma na kina Harmonize, Diamond kavaa hereni sikioni na kaingia ikulu chamwino, halafu Harmonize kasuka, nikakumbuka maneno ya mwl nyerere "ikulu ni mahala patakatifu...",
Nikasema kimoyomoyo "yule afisa elimu alinionea bure tu"
From there nikajifunza dont judge others based on physical appearance, Doesn't matter if its height, weight, skin tone, or anything else, you shouldn't judge a person by their appearance.

ukweli ni kwamba appearences are not 100% accurate to tell someone's character,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…