Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,556
- 235,330
Upo mkoa gani dear?Kweli kabisa
Wiki tu unabadirika,yaani daah
Huku baridi limezidi jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwana kulitafuta mwana kulifindOwkey mwambie akwende kwa Karma amuazime guu la bia.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787]Itabidi tuanze diet aisee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]shemeji amekuja kutuziba mdomoDogoooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me Caption yake imebdii nirudi nyuma kusubiri picha ifunguke. Nilichokuta hata robo kwa mawardat hakiingii.
Nilijua ntakutana na shepu kama yako[emoji7][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]shemeji amekuja kutuziba mdomo
Yaan amejua kutukomesha.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]shemeji amekuja kutuziba mdomo
Me sijaona,maana picha haifunguki,shemeji anataka mpambano[emoji16]Wewe hazijaakushangaza picha zake?
Nilitegemea nitakutana na guu kama la Chakorii.
Nashangaa mwili mabonde,mguu kama wangu[emoji38]
Me sijaona,maana picha haifunguki,shemeji anataka mpambano[emoji16]
Unajua nacheka hapa kama mwehu[emoji1787]Nilijua ntakutana na shepu kama yako[emoji7]
Duh,Kufungua naona kitu undefined.
Dah,Yaani[emoji38]Me sijaona,maana picha haifunguki,shemeji anataka mpambano[emoji16]
[emoji1787][emoji2902][emoji2902][emoji2902]Bora hata usione tu
Umeona mguu na mwili?Unajua nacheka hapa kama mwehu[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umeona mguu na mwili?
Hakuna uwiano kabisa.
Mapozi yake Sasa!Yaan amejua kutukomesha.
Mapozi yake Sasa!
Lile la mwanzo kama amejigonga anamtaka kudondokea mbele.
Adondokee pua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamani,kaenda kuzikusanya aje azimwage hapa[emoji3]Mapozi yake Sasa!
Lile la mwanzo kama amejigonga anamtaka kudondokea mbele.
Nipo songea huku yaani,baridi upepo mkali,mara kimvua yaani hakuelewekiUpo mkoa gani dear?
Kama ni Mbeya baridi huwa haiishi[emoji23]
Ila joto la Dar[emoji119][emoji119]na jua,,Yaani leo nilitamani nishuke kwenye gari njiani nibadilishe nguo .