Nilimuahidi mwanaforum bibie cute b kuwa ningemletea kitita kizima kuhusiana na swala zima la kukanyaga mdudu na kupotea njia. Kwanza lazima ijulikane kuwa hupotei njia bali medula kwenye sense ya ufahamu na utambuzi ndio huingiliwa na kuleta jam kwenye ubongo na hivyo kupindua kila kitu kwa...