100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,188
- 36,399
Haka ka utaratibu kufurahia break wakati wa primary school umekuja mpaka ukubwani, ikifika friday unakuwa na furaha sana... nafikiri wengi wanafanya kazi ambazo zilikuwa si ndoto zao... ni ile kufanya mkono uende kinywani hasa kazi za maofisi zinachosha sana...
Next week nitakuwepo best
Hakufikiki...
Haishauriwi kiafya kutumia hivi vinywaji.Piga Red Bull, au Azam Energy drink...
Hakuna dawa ya kuchoka.Hivi dawa ya kuchoka ni nini
Yaani ukisubiri kazi ya ndoto unaweza kaa unasubiri tu.Haka ka utaratibu kufurahia break wakati wa primary school umekuja mpaka ukubwani, ikifika friday unakuwa na furaha sana... nafikiri wengi wanafanya kazi ambazo zilikuwa si ndoto zao... ni ile kufanya mkono uende kinywani hasa kazi za maofisi zinachosha sana...
kuna jarida fulani USA waliweka takwimu kwamba siku za kuamkia monday watu wengi huwa wana stress, wengine hata kupata shinikizo la damu n.k... mawazo ya kazi...
nafikiri kazi zina mchango mkubwa kwenye afya ya mtu idhoofu au iimarike...
Pouwa.
[emoji2] Next Time Insha Allah
Kamba azipo nikifika tu lazima nikucheki best
[emoji847][emoji847][emoji847]Kamba azipo nikifika tu lazima nikucheki best
Nipo songwe Tunduma.
Kalumbu itoshe kusema hiki kitengo sina mpinzani[emoji23][emoji23]haniwezi mimi kwa kusave[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Ah mitaa ya nyumbani kabisaNipo songwe Tunduma.
Tunduma kama Tunduma boderAh mitaa ya nyumbani kabisa