100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,188
- 36,391
Duh!! hio ngumu... weulishaweka sura?
๐ณ๐ณ๐ณ naona umeamua kunipeperushia njiwaaaHahaha Holy Man mkulima wa mbalali ukonunategemea anajua nini? Achana nae.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ณ๐ณ๐ณ naona umeamua kunipeperushia njiwaaa
Watu wa dar mnashida sanaaa ๐ค๐ค๐คMwenye duffle bag namjua. Bishoo mmoja hivi anaitwa Holy Man enzi anakuja town.
Kamati imepitisha....Leo church hiyo.Linapokuja suala la church huwa sina mzaha kabisa!๐๐๐View attachment 1924711
Wewe na Holy Man hamjawahi kuselfika hapa
Selfika basi tuwaone jamani,acheni kutubania.
Sent using Jamii Forums mobile app
๐งโโ๏ธ๐งโโ๏ธ๐งโโ๏ธ๐๐Home chilling sunday....
View attachment 1924673
Naweka kambi hapa inawezekana sijifahamuTiririka utusaidie
We ni mpole na si muongeaji sana...Tirirrika chief
Ndiyo mkuu.Duh!! hio ngumu... weulishaweka sura?
Sahani yenye mpangilio... nice mkuu!!!
๐๐๐๐งโโ๏ธ๐งโโ๏ธ๐งโโ๏ธ๐๐
Mimi sio mpole na sifikirii kuwa mpole ila huwa ninakuwaga mkimya midomo yangu ikiwa haijisikii kuongea๐๐We ni mpole na si muongeaji sana...
Ukipenda mtu kimahusiano, unazimika ki sawasawa... unaingia mzima mzima....
Unapenda kula...
Prove me wrong...
Unapenda kupetiwa na kubembelezwa...
Yaani midomo yako inaongea mengi.... naweza endelea? before sijaendelea nikosoe...
Au hio midomo si yako nini?Mimi sio mpole na sifikirii kuwa mpole ila huwa ninakuwaga mkimya midomo yangu ikiwa haijisikii kuongea๐๐
Vingine yes kuna ukweli kiaina๐
Kamati ipo kwenye uchunguzi...Leo weekend nipo nyumbani na familia๐๐๐
View attachment 1924834