Kwa mnavyotupia humu .mm nikitupia nitaharibu uziThank you! Hivi ushawahi kutupia kapicha humu japo kucha tu tuoneπ€
Ungejua ni kitu cha karume tu buku 7 tuπHalafu hy siio vunja bei ujue kitu Woolworth hy
Kuna sehemu niliona umetajwa kama mnyaki na mtani wenu mkubwa humu jf.. ni kwel ama??Dah wacha niseme tu thank you mkuu Mgiriki ogπ€ͺ
Hivi Mshana kawazingua nini Mods hadi wamemlambisha ban aiseeπ€nimekosa usingizi nikaona heri nije kuwasalimu wanaselfika.. naona wote wamelala.. Mkuu Mshana Jr kala ban anejua nikiadimika Chakorii hayupoπ
Hiyo ata afulie maji ya bahari haipauki...Halafu hy siio vunja bei ujue kitu Woolworth hy
Yes mimi ni mnyaki og kabisa, kwani una shaka yoyote juu ya hilo mkuuπ are you mnyaki too?Kuna sehemu niliona umetajwa kama mnyaki na mtani wenu mkubwa humu jf.. ni kwel ama??
We mtakatifu huo msosi ongeza hebu
Basi mwenye kiwanda akupeDah acha basi mkuuππ sina kiwanda chochote kabisaπ
Dah Basi mwili wako mzuri nguo yoyote yakaa ikatulia tuliπDah acha basi mkuuππ sina kiwanda chochote kabisaπ
wap hii isije ikawa tupo sehemu mojaπ
Si kweliUngejua ni kitu cha karume tu buku 7 tuπ
πππ Wewe tu mbishi. Tungekuwa tunakula story kibao by now π€Tutazama DM, maana namba ya simu tulipewa ya masela wake Hamza[emoji1787]
sijui hata shida nini ila imenikosa hii leoHivi Mshana kawazingua nini Mods hadi wamemlambisha ban aiseeπ€
πππ ndo maana ake. Hamna cha "ohhh kitu gani sijui kiko wapi π€" . Na ole wake mtu achukue hata toothpick tu....hajaondoka ushajua ππHahaha, Mali zote zipo eneo unaweza ziona [emoji1787].
Mwili sukariDah Basi mwili wako mzuri nguo yoyote yakaa ikatulia tuliπ
Naona anaitwa mwenye Mali zake