Mida yenyewe hii mkuu yani huu msosi nashiba wote peke yangi wamelala woote hata mwenye uzi mzee wa kilinge kasinzia
Leta vitu boss wangu
Mida yenyewe hii mkuu yani huu msosi nashiba wote peke yangi wamelala woote hata mwenye uzi mzee wa kilinge kasinzia
😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳Mida yenyewe hii mkuu yani huu msosi nashiba wote peke yangi wamelala woote hata mwenye uzi mzee wa kilinge kasinzia
Leta vitu boss wangu
Hahahaha nimeelewa mkuu acha niwe mpoleSina la kusema. One day utanikuta hapo kwenye kibanda changu hapo barabarani. Mtu chake upo?
Skuizi nimepunguza Heineken 😁😁Ohooo yeah...umependeza sana ChickMagnet 😘😘😘😘.naona Bado uko kwenye mwendelezo wa kupungua🤛🤛
Fanya fanya basi hiyo fweza kwenye huo mfuko wa shati inifikie hapa nilipo.
Asante ❤️

Napenda wine..tena yenye inanukia mbao🙈
Umepotea sana siku hizi🥺🥺Hahahaha nimeelewa mkuu acha niwe mpole
Hahaha natafuta wa kunibanaHiyo siku yenyewe inawivu si wa nchi hii inajichelewwsha kufika Daddy☹️☹️.
mtu chake siku hizi amepotea sana sijui nani anambana yani
Bora umepunguza loh😊😊Skuizi nimepunguza Heineken 😁😁
Hela sasaivi itaingia kwenye account yako don't worry ! 😊
Hebu toa hiyo stika ChickMagnet tukunyakue sisi
Yani umenikimbia siku hizi nini shida.Hahaha natafuta wa kunibana
hahahahaYani umenikimbia siku hizi nini shida.
Nikutafutie mtu akubane?
🤛🤛Hah
hahahaha
Chakoriiiiiii na 'kipenzi' wakiwa mnadani wakisubiri nyama choma iive😁😁😁