Usije nifanyia ya kaka HamzaπYoh...I'm for real. Piga uone kama sipokei π
πππ....Hamza alichanganywa...mi sitokuchanganya ππUsije nifanyia ya kaka Hamzaπ
Uzee huooooNywele zimegoma kuota eti!!View attachment 1911284
Haha...Hapana siyo uzee bhana
Hii wiki bora ikwishee
πππ shida iko kwa watembezi. Sie Homebodys hatunaga shida ππLeo ijumaa na watu wametuliaaaa nyumbani [emoji41] ohh huu ni mwezi mrefu mshahara hadi jumanne.
Sasa wewe si ushazoea joto[emoji16]
Mimi wa mkoani[emoji38].
Hata nikijisuka mwenyewe mabutu ,kesho naamka kichwa kinawasha.
Mafuta huwa napaka yoyote .
[emoji38]Suala la kusukana na mimi tulishaachana kitamboooo. Siwezi kusuka yani hata nikisuka minyoosho kichwa kitaniuma jamani. Wig zinanisave sana. Na nina kipilipili kibaya balaa