Selfika na JF: Snap it. Show it

TBT
A year ago

Exactly Aug13,2020.
Kama si Bwana...
Israel na aseme Sasa
View attachment 1890734
Dogo

Location reminds me 'em good old days.

Friday nilikuwa sipatikani chuoni kwangu, nashinda Info, Humanity jpl naamkia bondeni usiku narudi napopaswa kuwa. Ikafikia hatua niliomaliza nao baadhi wakawa hawaelewi nasoma wapi.
 
Mimi vyuo vingine sijawahi kufika

Sijui hata nilikuwa nafanya nini Dodoma .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…