Selfika na JF: Snap it. Show it

TANZIA TANZIA TANZIA

Wana selfika na wana jf kwa ujumla usiku wa leo nilipokea taarifa za kusikitisha kuhusu mwanachama ip_mob amefariki dunia...

Kwa ufupi ni kwamba alikutwa amefariki akiwa nyumbani kwake alipopanga, tumuombe pumziko la milele huko aliko Amina....

Nimeumia sana maana alikuwa ni miongoni mwa rafiki yangu hata nje ya JF...

So sad...

Mshana Jr
 
Duh!!pole kwa familia,ndugu,jamaa na marafiki.

Pumzika kwa amani mpendwa ip_mob
 
Oh Jesus


Ni juzi tu nilikuwa napitia huu uzi posts za mwanzo,nikaona uliselfika naye.


Mwenyezi MUNGU ampumzishe pema.

Utaendelea kutupa updates mkuu.
 
Maskiniii
Na last seen yake naona ni jana tu alfajiri... Kifo ni fumbo kubwa sana.

Apumzike kwa amani, pole nyingi kwa wapendwa wake.
 
Mungu ampokee na kupunguziwa adhabu ya kaburi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…