Nimecheka sana,
Ngoja na mimi siku moja nitajaribu t-shirt ya mtoto wa watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumiss pia,nimemmiss ISO M.CodD
Dah yaani natamani turudiee..nilikaa na nyie muda mfupi sana,hata hatukupiga stori sana[emoji1751].
Roho iliniuma Sana.
Uliza kiatu View attachment 1888740
Naomba kitengo Cha vinywaji [emoji39]
Niwanyweshe watu fanta[emoji3].
Decorations na mimi ni mafuta na maji.
Hivi maana ya tukunyema ni nini?mi nimeitoa kwenye mafile ya wazee.Kumbe "Tukunyema" limewahi kukubalika kabisa 🙂
[emoji23][emoji23][emoji115][emoji115]Mimi sauzi nimekaa sana mpaka nkajua kizuluUliza kiatu View attachment 1888740
Pole lakini carpet unaweza nunulia lengine.Dah kuna raba yangu wajinga wameniibia carpet la ndani na hata sijaanza kula faida [emoji22]
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115]Mimi sauzi nimekaa sana mpaka nkajua kizulu
Eeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwahiyo hapo ni moto kwa moto [emoji848][emoji16]
Nyie watu ni wacheshi mno[emoji7]Enjoy what you have (what you get)
Don’t be disappointed by what you can’t get
Usijali anytime ukiwa na time nichek tunaweza kuarrange kitu
Ila ilikuwa [emoji91][emoji91] nilienjoy kwa kweli
JF idumu.
HahahaMuulize Saint Anne
Kwa ambao hawanywi soda watakunywa grand Malt.Au ngano (grand malts)
Hapana..mimi hawa dada zangu nawajua...sehemu ya kujishusha ili tu mambo yaende nitafanya hivyo..Hmmmm [emoji848][emoji848]
Sasa mbona kama ni hatari plus..plus??? Maana mkiwa wakorofi wote kesi zenu hazitokaa ziishe. Hamna wa kujishusha wala kukubali kushìndwa [emoji3061][emoji3061][emoji849]
Hapana..hutochelewa kuwanywesha watu mirinda nyeusi kila mtu kumi.Naomba kitengo Cha vinywaji [emoji39]
Niwanyweshe watu fanta[emoji3].
Decorations na mimi ni mafuta na maji.
[emoji2][emoji2]Mambo ya boobsjob sio?..sawa mzee.
[emoji23][emoji23] tamuNyonyo linatamanisha
Mambo yako haya [emoji23]Aiseeee!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Watakunywa soda mwanzo mwishoHapana..hutochelewa kuwanywesha watu mirinda nyeusi kila mtu kumi.