Na hiyo simu itapotea / kuingia kwenye maji. Na utasahau password ya google photos kwa jina la Yesu πNina picha za toka mwaka juzi na hazijapotea[emoji23]
Hata zako zipo,kipindi uzi unaanza.
Haki ya naniUlikunywa ile Amarula?
Ushakuwa cha pombe tayari.... Afu we Dar si mgeni? Huijui mitaa zaidi ya home tu ilikuwaje?
Hahaha maneno tu hayoHadi Sasa imebaki kidogo tu nipate picha kamili
Hii simu ishaingia hadi kwenye uji wa Moto na ikapona[emoji1787]Na hiyo simu itapotea / kuingia kwenye maji. Na utasahau password ya google photos kwa jina la Yesu [emoji120]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Subiri utaonaHahaha maneno tu hayo
Nikuongeze na zingine ukamilishe jambo lako Annie [emoji3]Subiri utaona
Nazikusanya mdogo mdogo[emoji23]Nikuongeze na zingine ukamilishe jambo lako Annie [emoji3]
Ukweli ni kwamba wale watu walinijaza upepo hadi nikapiga pafu mbili pale ile wine.
Yaani walinimiminia kabisa pale,wakaanza upya kunijaza upepo,eti si unaona haya ni maziwa kabisa[emoji1787]
Bahati nzuri nilipata dharula nikaondoka fasta...bila hivyo yaani ningetoka pale nimelewa.
Nasema uongo ISO M.CodD?
Abee Ankaliiii.....Ankali wa Taifa![emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji1751]Abeeeeeeeeeee[emoji126][emoji126][emoji126]
NingeshangaaHaki ya nani
Ilikuwa chungu,siwezi jaribu tena.
Hahah!
Ilikuwa maeneo ninayoishi..
[emoji8][emoji7][emoji3590]Na viatu vingine tena [emoji3][emoji3]View attachment 1888380View attachment 1888381
Chungu kama mitishamba [emoji26]Ningeshangaa
Amarula ina uchungu sana [emoji23]
Heri wangekupa Smirnoff
Tulikwambia tamu ni saint anna na Smirnoff black ice.Chungu kama mitishamba [emoji26]
mliniambia ni tamu.
Nikanywa tu grand Malt.
Bae uje nayo PM ikiwa haina huo mkono πNa viatu vingine tena [emoji3][emoji3]View attachment 1888380View attachment 1888381
Nilishakuwa disappointed kujaribu.Tulikwambia tamu ni saint anna na Smirnoff black ice.
Never give up!Nilishakuwa disappointed kujaribu.
Bora nipambane na soda tu[emoji38]
Eeh..[emoji3064][emoji3064][emoji3064]Chat n picha
View attachment 1888409
Hahaha usijari baeBae uje nayo PM ikiwa haina huo mkono [emoji23]