kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
Unataka nikuchore?Ni tattoo au back dimples piercing?
Unataka nikuchore?Ni tattoo au back dimples piercing?
Changamoto hiyo mkuuNashukuru MUNGU chief naendelea vizuri kwa sasa
Kwema lakini mkuu
Unataka kuwa tattooed?Mkaka
Shikamoo unataka kuninyima nini mkuu😛😛Shikamoo mwenye taasisi zake nyeti
Mkuu kumbukumbu zangu zinaniambia mara ya mwisho kwenye kikao chetu mabaharia tulikubaliana hakuna kumnyima mrembo chochote akiomba 😆😆Shikamoo unataka kuninyima nini mkuu😛😛
Ana kitambi Kitamu lakini.
Sasa vipi kunipa shikamoo mkuu😂😂 siri ishajulikana sasa mtatukoma full kuomba dough + magari mazuri zuri mixer nauli + salon costs dah😂Mkuu kumbukumbu zangu zinaniambia mara ya mwisho kwenye kikao chetu mabaharia tulikubaliana hakuna kumnyima mrembo chochote akiomba 😆😆
Nyinyi ndo mnaruhusa ya kutunyima lakini usifanye hivyo si vizuri
Kwa muktadha huo usiwe na shaka mkuu
#niwaomberadhimabahariakutoasirizakikao#
😁🙈🙈🙈Dah mboga malundo.. Ugali kiduchu![]()
Ankali mtafute kwanza mtu anaependa milk ya taifa ndipo tupige vigelegele..unaonaje ankali wanguAnkal... Nataka tupige vigelegele b4 its too late..![]()
Nilikutumia ankal lakini nilikuomba uitunze.mbona umekuja kumwaga humu tena🥺🥺Ankal ulinitumia umesahau?![]()
Na chura je??Ankali Chakorii ana titi la Taifa pia?😁😁😁