Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,355
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Hivi unapata wapi guts za kuniuta dogo? We mtoto wewe [emoji23]
Ina maana we nikiweka fanta orange kwa glass hutoitambua? Fantaa? Hata mimi mtumishi mdogo hukai nami [emoji23]
Dah[emoji1787]Ninatoa huduma ya evening classes ' karibu ujifunze...
Hii ya saba mixer sativa karibu tuzime Depal Lee.Heineken zaidi ya 6 sitoboi. Nataka siku nijaribu 10 hapo ndani mdogo mdogo nione kuzima kupoje...
u mzima weweAbee
Mimi mzima, Mungu ni mwema.u mzima wewe
kwann umeliacha jina la Depal bana[emoji15][emoji15][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Ninatoa huduma ya evening classes ' karibu ujifunze...
Mnaotumia Chrome mnaweza kupost picha??
Kwangu feature zote za uandishi (Font style,font type na Inserting) hazifanyi kazi kwenye simu na device zingine.
Niko salama asee... bado upo kusini naja uko next weekMimi mzima, Mungu ni mwema.
Hofu kwako.
Thanks my love,sakafu nzuri sana kama kuna joto#nimeambiwa nikimwaga tone ntalifua kwa mkono nipende nisipende.Kapeti zuri
Wengine tushazoea sakafu
Unamaanisha hii haipo?Mnaotumia Chrome mnaweza kupost picha??
Kwangu feature zote za uandishi (Font style,font type na Inserting) hazifanyi kazi kwenye simu na device zingine.
Jamani G 😁😁kwann umeliacha jina la Depal bana[emoji15][emoji15][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Karibu mkuu ila sipo huko.Niko salama asee... bado upo kusini naja uko next week
Aisee.[emoji38]Washenzi hawa wamenipiga bia hapa natafuta njia ya nyumbani siioni
Inapatikana wapi mkuu?Nyama ya Swala na Nyati..View attachment 1884687