Mtafute agent bavo kisha utaniambia mtafte insta hata youtube tu uone kichapo anachotembezaNgoja nitajaribu kumuangalia .
Nina miaka zaidi ya 10 tangu niachane na movie za kibongo .
Watu wanajua kuigiza mapenzi tu,,,tena nayo stori unajua kabisa Inaelekea huku.
Hizo za kupigana ndio kabisa[emoji38],
Ngoja nimcheck huyo jamaa ,,
Ila bro acha kumlinganisha Damme na watu wa ajabu...hivi yale mateke yake umeyaona vizuri kweli anavyoyatandika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani sijamtafuta bado ila sidhani kama anamfikia huyo mwamba aisee.Mtafute agent bavo kisha utaniambia mtafte insta hata youtube tu uone kichapo anachotembeza
HahahahaKwahiyo nimepitwa sio
Aisee we utakuja kuniambia, mwamba anatembeza round kick kama kazaliwa uchina😅😅😅Yaani sijamtafuta bado ila sidhani kama anamfikia huyo mwamba aisee.
Damme siyo mzuri sana kwenye ngumi,,,ila mateke[emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
A wapi [emoji1]Aisee we utakuja kuniambia, mwamba anatembeza round kick kama kazaliwa uchina[emoji28][emoji28][emoji28]
😁😁😁😁 mazingira mazuri sana hayo, wapi hapoFleet of 🐥team jichanganye uone 😅😅😅 Holy Man
We ndiyo umenichelewesha mkuuUmechelewa
Wanajua wenyewe hao😁😁😁😁 mazingira mazuri sana hayo, wapi hapo
Nilitoa offer jumamosi..wewe umekuja kuibuka jumapili nani aliyejichelewesha hapoWe ndiyo umenichelewesha mkuu
Hiyo ni nyama Choma mjini MsalatoHiki nini?
Tukawatembelea mkuu 😀😀Wanajua wenyewe hao
Kipenzi unajichana si mchezoHiyo ni nyama Choma mjini Msalato
Hizi ofa mbn wengine hatupewiNilitoa offer jumamosi..wewe umekuja kuibuka jumapili nani aliyejichelewesha hapo
Nilitoa kwa yeyote yule aliyekuwepo siku hiyoHizi ofa mbn wengine hatupewi