Selfika na JF: Snap it. Show it

Bro pep umekomaa[emoji16]
 
Ni kweli sisi ni watu wenye upendo mno.
Nilikuwa nao karibu wote ila nahisi mzee ndio zaidi,,,akiwepo home naenjoy mno(si unajua wakina mama sometimes wanazingua,,hatuivi sana).

Alikuwa mtu wa kuappreciate sana ukifanya vizuri..
Kuna mambo nilijitahidi kufanya kwa bidii ili nimridhishe tu mzee wangu.
Ngoja nisiandike Sana..
.
.
.
.
Oh baba Mtumishi ngoja niendelee kukutazamia labda utawiwa utanitumia kapicha kako[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…