Dah, Yaani ingekuwa inawezekana ningemshawishi tu Mungu afinalize mambo yaishe.
Amen
Namuamini sana Mungu,ila wacha niugulie haya maumivu hadi yatakapopoa.
Mtumishi si unajua kama kifo huja kama mwivi??
What if nikachomoka hapa,sijaona picha
,,,nyumba unayoweka rehani sitaifaidi.
Hebu fanya kuhurumia tumbo langu Mtumishi,limengoja mno.
Pls baba Mtumishi