Tumepunguza mno kuselfika! Shida nini wadau.. Kumbukeni si lazima sura.. Hata upaja tu ulionona
ruksaaa! Au zile za kubinua kishoes!
kwa wanawake tu lakini au guu kama la ankal wangu
Chakorii , au komwe kama la mjukuu wangu
cocastic ! Vp kuhusu kiuno nyigu cha
Depal