Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata kwa chai kinaenda tu.
Wengine huenda mbali na kukikaanga na nyanya,vitunguu na mafuta.
Yaani utamu wake hata nyama inaweza sione ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakijua eeh???
Enzi zangu za utoto nimekula sana aiseee..
Vijijini huko vinapatikana kwa wingi.
Huku town tunavipata kwa manati halafu bei kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijijini kwa bibi, huwa tunaendaga maporini karibu na maganga bela tunavichimba, mie hadi kukichimba, kutwanga, kukianika kukichemsha magadi na chumvi ili kiungane, najua kukitengeneza haswaa,

Ndo mboga ambayo napenda kutia karanga, nlivoenda likizo ile nilibeba vingi sana, kikande kitamu hatareeh.

Kule kwetu vipo vingi sana has a vijijini, japo vikifika mjini bei yake huwa sio kubwa.
 
Huku upatikanaji wake ni wa tabu mno.

Umkute fundi anayejua kupika vizuri yaani utaenjoy

Nitakuja Songea kuchimba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah!
Masaa hayatembei kabisa Chief.
Kahoma kamenibana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Oooops! Pole sana Mtumishi.

Na imani umeanza kutumia dawa/ulienda hospital kwa matibu?

Kama bado basi tafadhali kesho ukitahidi.

Pia jitahidi kunywa maji mengi, matunda ili upate hamu ya kula zaidi, japo chakula hakipandi ila jitahidi uwezavyo ili mwili usichoke mama.
 
Hata kwa chai kinaenda tu.
Wengine huenda mbali na kukikaanga na nyanya,vitunguu na mafuta.
Yaani utamu wake hata nyama inaweza sione ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usifananishe nyama na vitu vya ajabu we mjukuu,

Licha ya kuwa saivi natafuniwa nyama na Bibi yako kutokana na Uzee ( meno yote yametoka kutokana na umri huu wa uzee) lakini bado utamu wa nyama hauwezi kufananishwa na hivyo Vitundi vyenu πŸ˜‹πŸƒπŸ»
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…