Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,563
- 235,337
Nimemuelewa vizuri alichomaanisha..ila nimeona niongezee tu kuwa miaka ya nyuma hiyo mitaa tulikuja sana faragha ya Yerusalemu..siyo usharika wa Yerusalemu [emoji3526].Wewe kasema usharika wa Yerusalem morovian.. Sio yerusalem Uwata... Anyways ulikuwa unaenda faraghani zamani??[emoji41]
Ohoo[emoji86]huko Sasa unaniuza[emoji23][emoji23][emoji23]Mhola/chiza sana ng'wanike
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumwimbia bwana tenzi za rohoni huku unapiga vyombo ni kumkufuru.Achana na mambo ya kupiga vyombo kwanza![emoji1][emoji1][emoji1]
Hii verse huwa naielewa mnoMoyo tulia kwa Bwana
Kiini cha raha yako
Una njia mbili tena
Yesu ndiye njia yako
😂😂😂owaaa me mwenyewe mezaliwa humo ndani.. Tena hope tunafahamian vizuri kabisa sema hizi Id za Jf tuu..Nimemuelewa vizuri alichomaanisha..ila nimeona niongezee tu kuwa miaka ya nyuma hiyo mitaa tulikuja sana faragha ya Yerusalemu..siyo usharika wa Yerusalemu [emoji3526].
Mimi nimezaliwa Uwata Chief,ni mwanauwata niliyekengeuka tu kidogo[emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah![emoji23][emoji23][emoji23]owaaa me mwenyewe mezaliwa humo ndani.. Tena hope tunafahamian vizuri kabisa sema hizi Id za Jf tuu..
Sema tulud mjengoni vile hujapamic wewe
Mtu mwingine wa nje hawezi kukuelewa unamaanisha ila alishaingia ndo anaelewa Sasa na kuona yaliyomo.Ladha ya wokovu waijuawo ni wale waliookoka tuu
😂😂😂vibe lile ni hatare acha tuuHahah!
Ila mm kipindi wanaacha nilikuwa bado mdogo ,hata akili haikuwepo bado.
Nawaza niingie ila Uwata[emoji119][emoji119]kwamoto hatari[emoji1787]wanakaza mno aisee,siyo michezo.
Kipindi nasoma sekondari ilibaki kidogo niingie aisee,nimesoma shule yao.
Pia ratiba zangu kwa Sasa si rafiki sana kunipa muda kila siku wa kuhudhuria faraghani.
Ila enzi hizo na vile vingoma tumechemka sana mule ndani[emoji23][emoji23]vibe lake acha kabisa[emoji1787][emoji1787]
Wengine hadi majina yetu tulipewa faraghani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera,Mungu akusaidie na iwe hivyo[emoji120][emoji23][emoji23][emoji23]vibe lile ni hatare acha tuu
Itoshe kusema nalud mwaka huu
Hongera,Mungu akusaidie na iwe hivyo[emoji120]
Sema kwa wanaume hawakazi sana kama upande wetu wadada[emoji16]
Mavazi kidogo ni changamoto[emoji16].
Kuna mambo yananoga hii dunia,..mimi nimejifunzia kupiga ngoma huko uwata.
Yote ni kwa utukufu wa Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
R
Lime-inu limeinu-liwa neno lako ooh[emoji3590][emoji445][emoji444][emoji3590][emoji445][emoji444][emoji3590][emoji445][emoji444][emoji3590][emoji445][emoji444][emoji3590]
Kuna yule aliyenipenda si kwa ajili ya mali
Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu
Akanionyesha upendo ambao sijauona kwa wengine
Huyu halali wala hasinzii
Hata leo hajawahi kunichoka eeeeh
[emoji445][emoji444][emoji445][emoji176][emoji3590][emoji445][emoji444][emoji445][emoji176][emoji176]
Sikumtafuta ni yeye aliyekuja kwangu
Ninawacha dhambi makosa yangu
Yesu alinipenda wa kwanza
Niakwamini yeye kanisamehe dhambi
Upendo wake Yesu wanishangaza.
[emoji176][emoji444][emoji176][emoji445][emoji3590][emoji444][emoji176][emoji445][emoji176][emoji176]
[emoji176] . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .[emoji176]
[emoji3590]Yesu huyu Yesu rafiki mwema[emoji3590]
[emoji3590]Yesu huyu Yesu ninampenda[emoji3590]
Yesu Kristo Bwana wangu ni rafiki mwema [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa navaa SanaSasa kwa nini hutaki kuvaa marinda?
Hillary the worshipper[emoji3590][emoji445][emoji444][emoji119][emoji119]Lime-inu limeinu-liwa neno lako ooh
Kama vile jana lina nguvu leo na milele
Oh Kama vile jana lina nguvu leo na milele .
Linazidi nguvu kuta za Yeriko
Linaamuru maji kutoka mawe jangwani
Hili neno lako limeinuliwa
Limebeba neema ya waliosaulika
Linajibu maombi iliyopita kutarajiwa
Neno lako umesema
Haleluya amen oh
Kama vile jana lina nguvu leo na milele
Limeinuliwa limeinuliwa neno lako
Kama vile jana lina nguvu leo na milele
Limeinuliwa limeinuliwa neno lako
Kama vile jana lina nguvu leo na milele
Mavazi si shida sana ninaweza fanikiwa kwenye mavazi dk 0 tu nikashona marinda kama yote[emoji16],kunyoa nywele buku tu,hata Sasa nimenyoa, ila nikakwama sehemu nyingine hasa mahudhurio ya ibada za huko ambalo ndilo jambo muhimu kuliko yote.Nimeona hapo juu umeandika kuwa wanabana sana mavazi, nikahisi labda ndiyo maana unapata ugumu wa kurudi huko