Yaani rafiki yangu acha tu
Hata mimi nilijua utashangaa
,,Kwanza hata mimi nashangaa
.
Nikaona huku siko kabisa,hakuna amsha amsha kabisa aiseee
Eti Wana Restaurant tu!mimi huyu wa mishkaki ya miambilimbili ni wa kuingia Restaurant ?
Sent using
Jamii Forums mobile app