Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Aisee kumbe ndio mana akawa crush wangu😅Mmezaliwa tar 1 aiseee[emoji7],Hii imekaa vizuri..
Mtuandalie keki sasa tule humu ndani[emoji2960].
Halafu mtaje na miaka yenu jamani[emoji7][emoji7]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Watu wanapambania uchumi wa kati kwa vitendo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah hii kali nyoka achague kupiga deo kwa adabu au akatwe kichwa akafie mbele [emoji28][emoji28][emoji28] watu wanapambania uchumi wa kati!
Poleni sana bro! Ilikuwa usiku au mchana!?Jana me and my brother we cheated death twice..... Thanks 2 God View attachment 1780431View attachment 1780432View attachment 1780433
Ndiyo.Aisee kumbe ndio mana akawa crush wangu[emoji28]
Mchana bro, ni mambo ya. 'kiswahili'Poleni sana bro! Ilikuwa usiku au mchana!?
Dah pole sana aisee mkuu ni noma yanuMchana bro, ni mambo ya. 'kiswahili'
Wee hapa ulikua advance level, afu hii sura sio ngeni kwangu mbna?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kheeeeeeeh hii ya mwamposa?tuendelee kutoa sadaka kwa Imani wakuu View attachment 1781368
Thank you crush japo knyongeOh I didnt know that...kumbe ni twin wangu🙂. Nimechelewe keki.....this weekend was a bit busy[emoji29]. Happy belated birthday my crush
Heheheheheh wapi sponsor na broke boy? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie ndo nakuombea hapa..ila ukiipata usinisahauI plan to make TZS 1B nusu ya mwaka iliyobakia.
Wakuu mniombee sana ili atakayetaka kunikwamisha ajikwamishe mwenyewe.
Doon 😎
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2815][emoji2815][emoji2815][emoji2815]tuendelee kutoa sadaka kwa Imani wakuu View attachment 1781368