yaan hii week sijui nimekumbwa na jambo gani, natamani tu kufanya michezo ya kikubwa.
Juzi sasa nipo na watu tunafanya discussion, si nkamshika mkono mtu m1 nkamkagua vidole, afu nkaropoka kwa sauti "wee inaonekana umebeba mguu wa mtoto" wallah walicheka, nilipatwa na aibu hadi bas.
Eeeh Jah aniondoleeh dhahama hii,