We ni dogo bana hebu kaa kwa pattern ukikua tutakuja kukuchumbia! Mwili usikudanganye huoTatizo mnakadiria miaka kwa kuangalia miili[emoji23]shauri zenu.
Maza angu Yuko na 65 ila ukimuona yupo Kama binti mwili wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaine kanavyopenda picha[emoji23][emoji23]
Mimi niko 6 yrs ahead! BTW Menopause ndio kitu cha faraja kuashiria sarakasi zimeishaWee mie nna 39, bado 6 yrs nifike menopause. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heee[emoji134]We ni dogo bana hebu kaa kwa pattern ukikua tutakuja kukuchumbia! Mwili usikudanganye huo
Uko kwenye stage nzuri sahizi endelea kukua kidogo tunaandaa posaHizi nyimbo nazijua sana.
Hakuna bongo fleva ya zamani nisiyoijua..iwe hiphop ama za wabana pua.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hadi wewe andaeitini umejipachika kwenye thetes?[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Wee mie nna 39, bado 6 yrs nifike menopause. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uko kwenye stage nzuri sahizi endelea kukua kidogo tunaandaa posa
Dunia inakimbia[emoji1787][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Hahahahah uko njema ila huyo mwamba alikusikilizisha hio ngoma mwambie namsalimu!πππsio mtu mzur[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo miziki nimeisikiliza miaka zaidi ya 10 iliyopita .
Mimi nikikariri kitu,hasa nyimbo..ni ngumu Sana kusahau.
Hahah!Hahahahah uko njema ila huyo mwamba alikusikilizisha hio ngoma mwambie namsalimu![emoji23][emoji23][emoji23]sio mtu mzur
Happy birthday, May all your dreams come true. ...Yeah tunazidi kuzeeka tu jmn
NdiyoNzima nzima . Good
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nalea wajukuu saivi.Mimi niko 6 yrs ahead! BTW Menopause ndio kitu cha faraja kuashiria sarakasi zimeisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani uzee wote huu, andaeitini tena lol.Hadi wewe andaeitini umejipachika kwenye thetes?[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Kweli Kazi ipo[emoji1787]
Babuuuh naomba nije kula, [emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Karibuni late lunchView attachment 1777560
Msosi wa kibabe sana!πππKaribuni late lunchView attachment 1777560